bible.software › Genesis › Genesis 30 › Genesis 30:7
Genesis 30:7
Bilha mtumishi wa kike wa Raheli akapata mimba tena, akamzalia Yakobo mwana wa pili.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Bilhah Rachel’s maid conceived again, and bare Jacob a second son.
In Context
6Ndipo Raheli akasema, “Mungu amenipa haki yangu, amesikiliza maombi yangu na kunipa mwana.” Kwa sababu hiyo akamwita Dani. + 30:6 Dani maana yake Anahukumu, yaani Mungu amenipa haki yangu.
8Ndipo Raheli akasema, “Nilikuwa na mashindano makubwa na ndugu yangu, nami nimeshinda.” Kwa hiyo akamwita Naftali. + 30:8 Naftali maana yake Nimeshindana nami nimeshinda.
Read all of Genesis 30
Cross References
Genesis 46:24Wana wa Naftali ni: 2 Yaseeli, Guni, Yeseri na Shilemu.
Ezekiel 48:3“Naftali atakuwa na sehemu moja, itapakana na nchi ya Asheri kuanzia mashariki hadi magharibi.
This Verse In Other Editions
Study Genesis 30:7