The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 30 › Genesis 30:6

Genesis 30:6

Ndipo Raheli akasema, “Mungu amenipa haki yangu, amesikiliza maombi yangu na kunipa mwana.” Kwa sababu hiyo akamwita Dani. + 30:6 Dani maana yake Anahukumu, yaani Mungu amenipa haki yangu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Rachel said, God hath judged me, and hath also heard my voice, and hath given me a son: therefore called she his name Dan.

In Context

5Bilha akapata mimba, naye akamzalia Yakobo mwana.

7Bilha mtumishi wa kike wa Raheli akapata mimba tena, akamzalia Yakobo mwana wa pili.

Read all of Genesis 30

Cross References

Genesis 29:32Lea akapata mimba akazaa mwana. Akamwita Reubeni, + 29:32 Reubeni maana yake Ona mwana, yaani Yehova ameangalia taabu yangu. kwa maana alisema, “Ni kwa sababu Bwana ameona huzuni yangu. Hakika mume wangu sasa atanipenda.”

Genesis 46:23Mwana wa Dani ni: 2 Hushimu. 1

Deuteronomy 27:13Makabila haya yatasimama juu ya Mlima Ebali kwa kutamka laana: Reubeni, Gadi, Asheri, Zabuloni, Dani na Naftali.

Psalms 35:24Nihukumu kwa haki yako, Ee Bwana Mungu wangu, 2 sawasawa na haki yako; 2 usiwaache wakusimange. 1

Jeremiah 13:2Kwa hiyo nikanunua mkanda, kama Bwana alivyoniagiza, nikajivika kiunoni.

Jeremiah 15:14Nitakufanya uwe mtumwa wa adui zako 2 katika nchi usiyoijua, 1 kwa kuwa katika hasira yangu moto umewashwa 2 utakaowaka juu yako daima.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 30:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 30:5Genesis 30Genesis 30:7 →