The Bible Software
bible.softwareMwanzoMwanzo 31 › Mwanzo 31:50

Mwanzo 31:50

Kama ukiwatenda mabaya binti zangu au ukioa wake wengine zaidi ya binti zangu, hata ingawa hakuna hata mmoja aliye pamoja nasi, kumbuka kwamba Mungu ni shahidi kati yako na mimi.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If thou shalt afflict my daughters, or if thou shalt take other wives beside my daughters, no man is with us; see, God is witness betwixt me and thee.

In Context

49Pia liliitwa Mispa, + 31:49 Mispa maana yake Mnara wa ulinzi. kwa sababu alisema, “ Bwana na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati kila mmoja akiwa mbali na mwingine.

51Pia Labani akamwambia Yakobo, “Hili ndilo lundo, na hii ndiyo nguzo niliyoisimamisha kati yako na mimi.

Read all of Mwanzo 31

Cross References

Judges 11:10Viongozi wa Gileadi wakamjibu Yefta, “ Bwana ndiye shahidi yetu. Kwa hakika tutafanya kama usemavyo.”

Jeremiah 29:23Kwa kuwa wamefanya mambo maovu kabisa katika Israeli, wamezini na wake za majirani zao, tena kwa Jina langu wamesema uongo, mambo ambayo sikuwaambia kuyafanya. Nami nayajua haya, na ni shahidi wa jambo hilo,” asema Bwana. 1 Ujumbe Kwa Shemaya

Micah 1:2Sikieni, enyi mataifa, enyi nyote, 2 sikilizeni, ee dunia na wote mliomo ndani yake, 1 ili Bwana Mwenyezi ashuhudie dhidi yenu, 2 Bwana kutoka Hekalu lake takatifu. 1 Hukumu Dhidi Ya Samaria Na Yerusalemu 1

Malachi 3:5“Basi nitakuja karibu nanyi ili kuhukumu. Nami nitakuwa mwepesi kushuhudia dhidi ya wachawi, wazinzi, waapao kwa uongo, wanaopunja vibarua malipo yao, wanaowaonea wajane na yatima, na wanaowanyima wageni haki, lakini hawaniogopi mimi,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Kumwibia Mungu

1 Thessalonians 2:5Kama mjuavyo, hatukuja kwenu kwa maneno ya kujipendekeza au maneno yasiyo ya kweli ili kuficha tamaa mbaya: Mungu ndiye shahidi yetu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mwanzo 31:50

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mwanzo 31:49Mwanzo 31Mwanzo 31:51 →