Genesis 16:13
Hagari akampa Bwana aliyezungumza naye jina hili: “Wewe ndiwe Mungu unionaye mimi,” kwa maana alisema, “Sasa nimemwona yeye anayeniona mimi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 16:9Ndipo malaika wa Bwana akamwambia, “Rudi kwa bibi yako ukajishushe chini yake.”
Genesis 28:17Kwa hiyo akaogopa, akasema, “Mahali hapa panatisha kama nini! Bila shaka hapa ndipo nyumba ya Mungu ilipo, hili ni lango la mbinguni.”
Genesis 32:30Kwa hiyo Yakobo akapaita mahali pale Penieli, + 32:30 Penieli maana yake Uso wa Mungu, ambalo ni sawa na Penueli kwa Kiebrania. akasema, “Ni kwa sababu nimemwona Mungu uso kwa uso na bado maisha yangu yameokoka.”
Exodus 33:18Kisha Mose akasema, “Basi nionyeshe utukufu wako.”
Judges 6:24Hivyo Gideoni akamjengea Bwana madhabahu mahali pale na kupaita, Yehova-Shalom. + 6:24 Yehova-Shalom maana yake Bwana ni Amani. Mpaka leo ingalipo imesimama huko Ofra ya Waabiezeri.
Proverbs 5:21Kwa maana njia za mtu ni wazi kabisa mbele za Bwana, 2 naye huyapima mapito yake yote. 1