Genesis 33:2
Akawaweka wale watumishi wa kike na watoto wao mbele, Lea na watoto wake wakafuata, Raheli na Yosefu wakaja nyuma.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Yeye mwenyewe akatangulia mbele na kusujudu mara saba alipomkaribia ndugu yake.
Cross References
Genesis 29:16Labani alikuwa na binti wawili, binti mkubwa aliitwa Lea na binti mdogo aliitwa Raheli.
Genesis 30:22Ndipo Mungu akamkumbuka Raheli, akasikia maombi yake na akafungua tumbo lake.
Malachi 3:17“Nao watakuwa watu wangu,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote, “katika siku ile nitakapowafanya watu kuwa hazina yangu. Nitawahurumia, kama vile kwa huruma mtu amhurumiavyo mwanawe anayemtumikia.