The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 33 › Genesis 33:3

Genesis 33:3

Yeye mwenyewe akatangulia mbele na kusujudu mara saba alipomkaribia ndugu yake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he passed over before them, and bowed himself to the ground seven times, until he came near to his brother.

In Context

2Akawaweka wale watumishi wa kike na watoto wao mbele, Lea na watoto wake wakafuata, Raheli na Yosefu wakaja nyuma.

4Lakini Esau akamkimbilia Yakobo kumlaki na kumkumbatia, akamwangukia shingoni na kumbusu. Nao wakalia.

Read all of Genesis 33

Cross References

Genesis 42:6Wakati huo Yosefu alikuwa mtawala wa nchi ya Misri, naye alikuwa ndiye aliwauzia watu wote nafaka. Kwa hiyo wakati ndugu zake Yosefu walipofika, wakamsujudia hadi nyuso zao zikagusa ardhi.

Genesis 48:12Ndipo Yosefu akawaondoa wanawe magotini mwa Israeli naye akasujudu hadi nchi.

Proverbs 6:3basi fanya hivi mwanangu, ili ujiweke huru, 2 kwa kuwa umeanguka mikononi mwa jirani yako: 1 Nenda ukajinyenyekeshe kwake; 2 msihi jirani yako! 1

Luke 14:11Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.”

John 10:11“Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 33:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 33:2Genesis 33Genesis 33:4 →