The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 33 › Genesis 33:9

Genesis 33:9

Lakini Esau akamwambia, “Ndugu yangu, tayari nina wingi wa mali. Ulivyo navyo viwe vyako mwenyewe.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Esau said, I have enough, my brother; keep that thou hast unto thyself.

In Context

8Esau akauliza, “Una maana gani kuhusu makundi hayo yote niliyokutana nayo?” Akasema, “Ni ili kupata kibali machoni pako, bwana wangu.”

10Yakobo akasema, “La hasha! Tafadhali, kama nimepata kibali machoni pako, upokee zawadi hii kutoka kwangu. Kwa maana kuuona uso wako, ni kama kuuona uso wa Mungu, kwa kuwa umenipokea kwa takabali kubwa.

Read all of Genesis 33

Cross References

Genesis 27:39Baba yake Isaki akamjibu, akamwambia, 1 “Makao yako yatakuwa 2 mbali na utajiri wa dunia, 2 mbali na umande wa mbinguni juu. 1

Judges 20:23Waisraeli wakapanda mbele za Bwana na kulia mbele zake mpaka jioni, nao wakamuuliza Bwana wakisema, “Je, tupande tena kupigana vita na Wabenyamini, ndugu zetu?” Bwana akajibu, “Pandeni mkapigane nao.”

Proverbs 30:15“Mruba anao binti wawili waliao, 2 ‘Nipe! Nipe!’ 1 “Kuna vitu vitatu visivyotosheka kamwe, 2 naam, viko vinne visivyosema, ‘Yatosha!’: 1

Acts 9:17Kisha Anania akaenda kwenye ile nyumba, akaingia ndani. Akaweka mikono yake juu ya Sauli akasema, “Ndugu Sauli, Bwana Yesu aliyekutokea njiani amenituma kwako ili upate kuona tena na ujazwe Roho Mtakatifu.”

Philemon 1:7Upendo wako umenifurahisha mno na kunitia moyo, kwa sababu wewe ndugu, umeiburudisha mioyo ya watakatifu. 1 Maombi Ya Paulo Ya Kumtetea Onesimo

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 33:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 33:8Genesis 33Genesis 33:10 →