Genesis 34:23
Je, si mifugo yao, mali zao na wanyama wao wengine wote watakuwa wetu? Basi na tuwape kibali, nao wataishi miongoni mwetu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 1:12tuwameze wakiwa hai kama kaburi, + 1:12 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni. 1
Proverbs 28:20Mtu mwaminifu atabarikiwa sana, 2 bali yeye atamaniye kupata utajiri kwa haraka 2 hataacha kuadhibiwa. 1
John 6:26Yesu akawajibu, “Amin, amin nawaambia, ninyi hamnitafuti kwa kuwa mliona ishara na miujiza, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba.
1 Timothy 6:6Lakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa.