The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 1 › Proverbs 1:12

Proverbs 1:12

tuwameze wakiwa hai kama kaburi, + 1:12 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let us swallow them up alive as the grave; and whole, as those that go down into the pit:

In Context

11Kama wakisema, “Twende tufuatane; 2 tukamvizie mtu na kumwaga damu, 2 njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia; 1

13Tutapata aina zote za vitu vya thamani 2 na kujaza nyumba zetu kwa nyara. 1

Read all of Proverbs 1

Cross References

Numbers 26:10Ardhi ilifunua kinywa chake na kuwameza pamoja na Kora, ambaye wafuasi wake walikufa wakati moto ulipowateketeza wanaume 250. Nao walikuwa kama alama ya onyo.

Psalms 28:1Ninakuita wewe, Ee Bwana, Mwamba wangu; 2 usiwe kwangu kama kiziwi. 1 Kwa sababu ukinyamaza 2 nitafanana na walioshuka shimoni. 1

Psalms 56:1Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; 2 mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao. 1

Psalms 124:3wakati hasira yao ilipowaka dhidi yetu, 2 wangalitumeza tungali hai, 1

Jeremiah 51:34“Nebukadneza mfalme wa Babeli ametula, 2 ametufanya tuchangayikiwe, 2 ametufanya tuwe gudulia tupu. 1 Kama nyoka ametumeza 2 na kujaza tumbo lake kwa vyakula vyetu vizuri, 2 kisha akatutapika. 1

Lamentations 2:16Adui zako wote wanapanua 2 vinywa vyao dhidi yako, 1 wanadhihaki na kusaga meno yao 2 na kusema, “Tumemmeza. 1 Hii ndiyo siku tuliyoingojea, 2 tumeishi na kuiona.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 1:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 1:11Proverbs 1Proverbs 1:13 →