Proverbs 28:20
Mtu mwaminifu atabarikiwa sana, 2 bali yeye atamaniye kupata utajiri kwa haraka 2 hataacha kuadhibiwa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
21Kuonyesha upendeleo si vizuri, 2 hata hivyo mtu atafanya kosa kwa kipande cha mkate. 1
Cross References
2 Kings 5:20Gehazi, mtumishi wa Elisha mtu wa Mungu, akajiambia mwenyewe, “Bwana wangu amemwachia kirahisi sana Naamani, huyu Mwaramu, kwa kutokupokea kutoka kwake vile alivyovileta. Hakika kama Bwana aishivyo, nitamkimbilia na kupata kitu kutoka kwake.”
Psalms 101:6Macho yangu yatawaelekea waaminifu katika nchi, 2 ili waweze kuishi pamoja nami; 1 yeye ambaye moyo wake hauna lawama 2 atanitumikia. 1
Proverbs 10:6Baraka huwa taji kichwani mwa mwenye haki, 2 lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu. 1
Proverbs 17:5Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; 2 yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa. 1
Proverbs 20:21Urithi upatikanao haraka mwanzoni, 2 hautabarikiwa mwishoni. 1
Proverbs 28:22Mtu mchoyo ana tamaa ya kupata utajiri, 2 naye hana habari kuwa umaskini unamngojea. 1