Genesis 34:4
Shekemu akamwambia baba yake Hamori, “Nipatie msichana huyu awe mke wangu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Shechem spake unto his father Hamor, saying, Get me this damsel to wife.
In Context
Cross References
Judges 14:2Alipopanda kutoka huko, akawaambia baba yake na mama yake, “Nimemwona mwanamke wa Kifilisti huko Timna; basi mnipe ili awe mke wangu.”
Jeremiah 29:6Oeni wake na mzae wana na binti, waozeni wana wenu wake, nanyi watoeni binti zenu waolewe, ili nao pia wazae wana na binti. Ongezekeni idadi yenu huko, wala msipungue.