Genesis 35:16
Kisha wakaondoka Betheli. Walipokuwa umbali fulani kabla ya kufika Efrathi, Raheli akaanza kusikia uchungu na alipata shida kuu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:16Kwa mwanamke akasema, 1 “Nitakuzidishia sana utungu wakati wa kuzaa kwako; 2 kwa utungu utazaa watoto. 1 Tamaa yako itakuwa kwa mumeo 2 naye atakutawala.”
Genesis 48:7Nilipokuwa ninarudi kutoka Padani, katika huzuni yangu Raheli alifariki katika nchi ya Kanaani tulipokuwa tungali tukisafiri, tukiwa karibu kufika Efrathi. Kwa hiyo nilimzika huko, kando ya njia iendayo Efrathi” (yaani Bethlehemu).
2 Kings 5:19Elisha akamwambia, “Nenda kwa amani.” Baada ya Naamani kusafiri umbali fulani,
Psalms 132:6Tulisikia habari hii huko Efrathi, 2 tulikutana nayo katika mashamba ya Yaara: + 132:6 Yaani Kiriath-Yearimu. 1
Matthew 2:1Baada ya Yesu kuzaliwa katika mji wa Bethlehemu huko Uyahudi, wakati wa utawala wa Mfalme Herode, wataalamu wa mambo ya nyota kutoka mashariki walifika Yerusalemu
Matthew 2:18“Sauti ilisikika huko Rama, 2 maombolezo na kilio kikubwa, 1 Raheli akilia kwa ajili ya wanawe, 2 akikataa kufarijiwa, 1 kwa sababu hawako tena.” 1 Kurudi Kutoka Misri