The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 3 › Genesis 3:16

Genesis 3:16

Kwa mwanamke akasema, 1 “Nitakuzidishia sana utungu wakati wa kuzaa kwako; 2 kwa utungu utazaa watoto. 1 Tamaa yako itakuwa kwa mumeo 2 naye atakutawala.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Unto the woman he said, I will greatly multiply thy sorrow and thy conception; in sorrow thou shalt bring forth children; and thy desire shall be to thy husband, and he shall rule over thee.

In Context

15Nami nitaweka uadui 2 kati yako na huyo mwanamke, 2 na kati ya uzao wako na wake, 1 yeye atakuponda kichwa, 2 nawe utamuuma kisigino.”

17Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’ 1 “Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako, 2 kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo 2 siku zote za maisha yako. 1

Read all of Genesis 3

Cross References

Genesis 4:7Ukifanya lililo sawa, je, hutakubalika? Lakini usipofanya lililo sawa, dhambi inakuvizia mlangoni mwako, inakutamani wewe, lakini inakupasa uishinde.”

Numbers 30:7na mume wake akasikia habari hiyo asimwambie neno lolote, ndipo nadhiri zake ama ahadi zake ambazo alikuwa amejifunga nazo zitathibitika.

1 Samuel 4:19Mkwewe, mke wa Finehasi, alikuwa mjamzito na karibu wakati wa kujifungua. Aliposikia habari kwamba Sanduku la Mungu limetekwa na ya kuwa baba mkwe wake na mumewe wamekufa, akapata utungu naye akajifungua lakini akazidiwa na utungu.

Esther 1:20Kisha mbiu hii ya mfalme itakapotangazwa katika himaya yake iliyo kubwa sana, wanawake wote watawaheshimu waume zao, kuanzia mdogo hadi mkubwa.”

Isaiah 13:8Hofu itawakamata, 2 uchungu na maumivu makali yatawashika, 1 watagaagaa kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa. 1 Watatazamana kwa hofu kila mtu na mwenzake, 2 nyuso zao zikiwaka kama moto. 1

Isaiah 26:17Kama mwanamke mwenye mimba aliyekaribia kuzaa 2 anavyogaagaa na kulia kwa ajili ya maumivu yake, 2 ndivyo tulivyokuwa mbele zako, Ee Bwana. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 3:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 3:15Genesis 3Genesis 3:17 →