The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 35 › Genesis 35:17

Genesis 35:17

Alipokuwa katika shida hii katika kujifungua, mkunga akamwambia, “Usiogope, kwa sababu umempata mwana mwingine.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it came to pass, when she was in hard labour, that the midwife said unto her, Fear not; thou shalt have this son also.

In Context

16Kisha wakaondoka Betheli. Walipokuwa umbali fulani kabla ya kufika Efrathi, Raheli akaanza kusikia uchungu na alipata shida kuu.

18Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni. + 35:18 Benoni maana yake Mwana wa huzuni yangu. Lakini babaye akamwita Benyamini. + 35:18 Benyamini maana yake Mwana wa mkono wangu wa kuume.

Read all of Genesis 35

Cross References

Genesis 30:24Akamwita Yosefu + 30:24 Yosefu maana yake Yeye na aongeze, yaani Mungu na aniongezee. na kusema, “ Bwana na anipe mwana mwingine.” 1 Makundi Ya Yakobo Yaongezeka

1 Samuel 4:20Alipokuwa akifa, wanawake waliokuwa wanamhudumia wakamwambia, “Usikate tamaa, umemzaa mwana.” Lakini hakujibu wala kuweka maanani.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 35:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 35:16Genesis 35Genesis 35:18 →