The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 35 › Genesis 35:21

Genesis 35:21

Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema mbele mnara wa Ederi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Israel journeyed, and spread his tent beyond the tower of Edar.

In Context

20Juu ya kaburi lake, Yakobo akasimamisha nguzo, ambayo mpaka leo inatambulisha kaburi la Raheli.

22Wakati Israeli alipokuwa akiishi katika nchi ile, Reubeni mwanawe alikutana kimwili na suria wa baba yake aitwaye Bilha, naye Israeli akasikia jambo hili. Yakobo alikuwa na wana kumi na wawili: 1

Read all of Genesis 35

Cross References

Micah 4:8Lakini kuhusu wewe, ee mnara wa ulinzi wa kundi, 2 ee ngome ya Binti Sayuni, 1 milki ya awali itarudishwa kwako, 2 ufalme utakuja kwa Binti Yerusalemu.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 35:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 35:20Genesis 35Genesis 35:22 →