Micah 4:8
Lakini kuhusu wewe, ee mnara wa ulinzi wa kundi, 2 ee ngome ya Binti Sayuni, 1 milki ya awali itarudishwa kwako, 2 ufalme utakuja kwa Binti Yerusalemu.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 35:21Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema mbele mnara wa Ederi.
2 Samuel 5:7Hata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi.
Psalms 24:7Inueni vichwa vyenu, enyi malango, 2 inukeni enyi milango ya kale, 2 ili mfalme wa utukufu apate kuingia. 1
Song of Solomon 4:4Shingo yako ni kama mnara wa Daudi, 2 uliojengwa kwa madaha, 1 juu yake zimetundikwa ngao elfu, 2 zote ni ngao za mashujaa. 1
Isaiah 5:2Alililima na kuondoa mawe 2 na akaliotesha mizabibu bora sana. 1 Akajenga mnara wa ulinzi ndani yake, 2 na kutengeneza shinikizo la kukamulia divai pia. 1 Kisha akatazamia kupata mazao ya zabibu nzuri, 2 lakini lilizaa matunda mabaya tu. 1
Daniel 2:44“Katika siku za wafalme hao, Mungu wa mbinguni atauweka ufalme ambao kamwe hautaangamizwa, wala hautaachiwa taifa jingine. Utaziponda zile falme zote na kuzikomesha, bali wenyewe utadumu milele.