Genesis 35:3
Kisha njooni, twende Betheli, mahali nitakapomjengea Mungu madhabahu, aliyenijibu katika siku ya shida yangu, ambaye amekuwa pamoja nami popote nilipokwenda.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 28:15Niko pamoja nawe nami nitakulinda kila uendako na nitakurudisha katika nchi hii. Sitakuacha mpaka nitakapofanya hayo niliyokuahidi.”
Genesis 31:3Ndipo Bwana akamwambia Yakobo, “Rudi katika nchi ya baba zako na kwa watu wako, nami nitakuwa pamoja nawe.”
Genesis 32:7Kwa hofu kuu na huzuni, Yakobo akagawanya watu aliokuwa nao katika makundi mawili, pia akagawanya makundi ya kondoo na mbuzi, na vilevile ngʼombe na ngamia.
Genesis 48:15Ndipo akambariki Yosefu akisema, 1 “Mungu ambaye baba zangu 2 Abrahamu na Isaki walimtii, 1 Mungu ambaye amekuwa mchungaji 2 wa maisha yangu yote mpaka leo hii, 1
Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Psalms 91:15Ataniita, nami nitamjibu; 2 nitakuwa pamoja naye katika taabu, 2 nitamwokoa na kumheshimu. 1