Genesis 36:25
Watoto wa Ana walikuwa: 2 Dishoni na Oholibama binti wa Ana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the children of Anah were these; Dishon, and Aholibamah the daughter of Anah.
In Context
26Wana wa Dishoni walikuwa: 2 Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 1
Cross References
Genesis 36:2Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti wa Eloni Mhiti, Oholibama binti wa Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi,
Genesis 36:14Wana wa Oholibama binti Ana, mkewe Esau, aliyekuwa mjukuu wa Sibeoni, aliomzalia Esau ni: 2 Yeushi, Yalamu na Kora.
1 Chronicles 1:41Mwana wa Ana alikuwa: 2 Dishoni. 1 Nao wana wa Dishoni walikuwa: 2 Hemdani, Eshbani, Ithrani na Kerani. 1