Genesis 36:32
Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Bela the son of Beor reigned in Edom: and the name of his city was Dinhabah.
In Context
31Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala: 2
33Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 1