Genesis 36:33
Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Bela died, and Jobab the son of Zerah of Bozrah reigned in his stead.
In Context
32Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba. 1
34Yobabu alipofariki, Hushamu kutoka nchi ya Watemani akawa mfalme baada yake. 1
Cross References
Isaiah 63:1Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu, 2 kutoka Bosra, mwenye mavazi yaliyotiwa madoa mekundu? 1 Ni nani huyu, aliyevikwa joho la kifahari, 2 anayetembea kwa ukuu wa nguvu zake? 1 “Mimi ndimi, nisemaye katika haki, 2 mwenye nguvu wa kuokoa.” 1
Jeremiah 49:13Ninaapa kwa nafsi yangu,” asema Bwana, “kwamba Bosra utakuwa magofu na kitu cha kutisha, cha aibu na cha kulaania; miji yake yote itakuwa magofu milele.” 1
Amos 1:12Nitatuma moto juu ya Temani 2 ambao utateketeza ngome za Bosra.”