Genesis 37:25
Walipokaa ili wale chakula chao, wakainua macho wakaona msafara wa Waishmaeli ukija kutoka Gileadi. Ngamia wao walikuwa wamepakizwa mizigo ya vikolezo, uvumba na manemane, nao walikuwa njiani kuvipeleka Misri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Yuda akawaambia ndugu zake, “Tutafaidi nini ikiwa tutamuua ndugu yetu na kuificha damu yake?
Cross References
Genesis 16:11Pia malaika wa Bwana akamwambia: 1 “Wewe sasa una mimba 2 nawe utamzaa mwana. 1 Utamwita jina lake Ishmaeli, + 16:11 Ishmaeli maana yake Mungu husikia. 2 kwa sababu Bwana amesikia juu ya huzuni yako. 1
Genesis 25:16Hawa walikuwa wana wa Ishmaeli na haya ni majina ya viongozi wa makabila kumi na mawili kulingana na makao yao na kambi zao.
Genesis 31:23Akiwachukua jamaa zake, akamfuatia Yakobo kwa siku saba na kumkuta kwenye nchi ya vilima katika Gileadi.
Genesis 37:36Wakati ule ule, Wamidiani wakamuuza Yosefu huko Misri kwa Potifa, mmojawapo wa maafisa wa Farao, aliyekuwa mkuu wa ulinzi.
Genesis 43:11Basi baba yao Israeli akawaambia, “Kama ni lazima iwe hivyo, basi fanyeni hivi: Wekeni baadhi ya mazao bora ya nchi katika mifuko yenu na mpelekeeni yule mtu kama zawadi, zeri kidogo, asali kidogo, vikolezo, manemane, kungu na lozi.
Psalms 14:4Je, watendao mabaya kamwe hawatajifunza: 2 wale ambao huwala watu wangu 1 kama watu walavyo mkate, 2 hao ambao hawamwiti Bwana? 1