bible.software › Mwanzo › Mwanzo 38 › Mwanzo 38:28
Mwanzo 38:28
Alipokuwa akijifungua, mmoja akatoa mkono wake nje, kwa hiyo mkunga akachukua uzi mwekundu na kuufunga mkononi mwa yule mtoto, akasema, “Huyu ametoka kwanza.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it came to pass, when she travailed, that the one put out his hand: and the midwife took and bound upon his hand a scarlet thread, saying, This came out first,
In Context
27Wakati ulipofika wa kujifungua, kukawa na wana mapacha tumboni mwake.
29Lakini alipourudisha mkono wake ndugu yake akaanza kutoka, naye akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.
Read all of Mwanzo 38
This Verse In Other Editions
Study Mwanzo 38:28