Genesis 38:29
Lakini alipourudisha mkono wake ndugu yake akaanza kutoka, naye akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Kisha ndugu yake, aliyekuwa na uzi mwekundu mkononi, akatoka, naye akaitwa Zera.
Cross References
Genesis 46:12Wana wa Yuda ni: 2 Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). 2 Wana wa Peresi ni: 3 Hesroni na Hamuli. 1
Ruth 4:12Kupitia kwa watoto ambao Bwana atakupa kutokana na huyu mwanamwali, jamaa yako na ifanane na ya Peresi, ambaye Tamari alimzalia Yuda.” 1 Wazao Wa Boazi
1 Chronicles 9:4Uthai mwana wa Amihudi, mwana wa Omri, mwana wa Imri, mwana wa Bani, wa wana wa Peresi, mwana wa Yuda. 1
Nehemiah 11:6Wazao wa Peresi walioishi Yerusalemu walikuwa 468, watu wenye uwezo.
Luke 3:33Nashoni alikuwa mwana wa Aminadabu, 1 Aminadabu alikuwa mwana wa Aramu, 1 Aramu alikuwa mwana wa Hesroni, 1 Hesroni alikuwa mwana wa Peresi, 1 Peresi alikuwa mwana wa Yuda, 1