The Bible Software
bible.softwareRuthRuth 4 › Ruth 4:12

Ruth 4:12

Kupitia kwa watoto ambao Bwana atakupa kutokana na huyu mwanamwali, jamaa yako na ifanane na ya Peresi, ambaye Tamari alimzalia Yuda.” 1 Wazao Wa Boazi

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And let thy house be like the house of Pharez, whom Tamar bare unto Judah, of the seed which the LORD shall give thee of this young woman.

In Context

11Kisha wazee pamoja na watu wote waliokuwa langoni wakasema, “Sisi ni mashahidi. Bwana na amfanye mwanamke huyu aingiaye nyumbani mwako kuwa kama Raheli na kama Lea, wale wanawake wawili ambao pamoja waliijenga nyumba ya Israeli. Nawe ufanikiwe katika Efrathi na uwe mashuhuri katika Bethlehemu.

13Basi Boazi akamwoa Ruthu, naye akawa mke wake. Alipoingia kwake, Bwana akamjalia Ruthu, naye akapata mimba, akamzaa mtoto wa kiume.

Read all of Ruth 4

Cross References

Genesis 38:29Lakini alipourudisha mkono wake ndugu yake akaanza kutoka, naye akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.

Numbers 26:20Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela; 1 kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi; 1 kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera. 1

1 Samuel 2:20Eli alikuwa akiwabariki Elikana na mkewe, akisema, “ Bwana na akupe watoto kwa mwanamke huyu ili kuchukua nafasi ya yule aliyekuwa amemwomba na akamtoa kwa Bwana.” Kisha wakawa wanakwenda nyumbani.

Matthew 1:3Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, 2 Peresi akamzaa Hesroni, 2 Hesroni akamzaa Aramu, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ruth 4:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ruth 4:11Ruth 4Ruth 4:13 →