Genesis 38:4
Akapata mimba tena, akamzaa mwana na kumwita Onani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And she conceived again, and bare a son; and she called his name Onan.
In Context
3akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri.
5Akamzaa mwana mwingine tena, akamwita Shela. Huyu alimzalia mahali paitwapo Kezibu.
Cross References
Numbers 26:19Eri na Onani walikuwa wana wa Yuda, lakini walifia huko Kanaani.