Genesis 38:3
akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And she conceived, and bare a son; and he called his name Er.
In Context
2Huko Yuda akakutana na binti wa Kikanaani aitwaye Shua, akamwoa na akakutana naye kimwili,
4Akapata mimba tena, akamzaa mwana na kumwita Onani.
Cross References
Genesis 46:12Wana wa Yuda ni: 2 Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). 2 Wana wa Peresi ni: 3 Hesroni na Hamuli. 1
1 Chronicles 2:3Wana wa Yuda walikuwa: 2 Eri, Onani na Shela. Hawa watatu walizaliwa kwake na mkewe Mkanaani, binti wa Shua. Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Bwana, kwa hiyo Bwana alimuua.