The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 38 › Genesis 38:5

Genesis 38:5

Akamzaa mwana mwingine tena, akamwita Shela. Huyu alimzalia mahali paitwapo Kezibu.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And she yet again conceived, and bare a son; and called his name Shelah: and he was at Chezib, when she bare him.

In Context

4Akapata mimba tena, akamzaa mwana na kumwita Onani.

6Yuda akampatia Eri, mzaliwa wake wa kwanza, mke aitwaye Tamari.

Read all of Genesis 38

Cross References

Genesis 38:11Kisha Yuda akamwambia Tamari mkwewe, “Ishi kama mjane nyumbani mwa baba yako mpaka mwanangu Shela atakapokua.” Kwa maana alifikiri, “Angeweza kufa pia kama ndugu zake.” Kwa hiyo Tamari alikwenda kuishi nyumbani kwa baba yake.

Genesis 46:12Wana wa Yuda ni: 2 Eri, Onani, Shela, Peresi na Zera (lakini Eri na Onani walifariki katika nchi ya Kanaani). 2 Wana wa Peresi ni: 3 Hesroni na Hamuli. 1

Numbers 26:20Wazao wa Yuda kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Shela, ukoo wa Washela; 1 kutoka kwa Peresi, ukoo wa Waperesi; 1 kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera. 1

1 Chronicles 4:21Wana wa Shela, mwana wa Yuda, walikuwa: 2 Eri baba yake Leka, Laada baba yake Maresha na jamaa za wafumaji nguo za kitani safi waliokuwa wakiishi huko Beth-Ashbea,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 38:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 38:4Genesis 38Genesis 38:6 →