Genesis 39:10
Ingawa yule mwanamke aliendelea kumshawishi Yosefu siku baada ya siku, Yosefu alikataa kukutana naye kimwili wala kukaa karibu naye.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 39:8Lakini Yosefu akakataa. Akamwambia yule mwanamke, “Mimi nikiwa katika uongozi, bwana wangu hahusiki na kitu chochote katika nyumba hii, kila kitu alicho nacho amenikabidhi.
Proverbs 2:16Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba, 2 kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno 2 ya kushawishi kutenda ubaya, 1
Proverbs 5:8Njia zenu ziwe mbali naye, 2 msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 1
Proverbs 7:5watakuepusha na mwanamke mzinzi, 2 kutokana na mwanamke mpotovu 2 na maneno yake ya kubembeleza. 1
Proverbs 9:14Huketi kwenye mlango wa nyumba yake, 2 juu ya kiti katika mahali pa juu sana pa mji, 1
Proverbs 22:14Kinywa cha mwanamke kahaba ni shimo refu; 2 yeye aliye chini ya ghadhabu ya Bwana 2 atatumbukia ndani yake. 1