The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 39 › Genesis 39:8

Genesis 39:8

Lakini Yosefu akakataa. Akamwambia yule mwanamke, “Mimi nikiwa katika uongozi, bwana wangu hahusiki na kitu chochote katika nyumba hii, kila kitu alicho nacho amenikabidhi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But he refused, and said unto his master’s wife, Behold, my master wotteth not what is with me in the house, and he hath committed all that he hath to my hand;

In Context

7baada ya kitambo mke wa Potifa akamtamani Yosefu, akamwambia, “Njoo, ukutane nami kimwili!”

9Hapa nyumbani hakuna aliye mkuu kuliko mimi. Bwana wangu hakunizuilia kitu chochote isipokuwa wewe, kwa kuwa wewe ni mke wake. Nitawezaje basi kufanya uovu huu na kutenda dhambi dhidi ya Mungu?”

Read all of Genesis 39

Cross References

Proverbs 1:10Mwanangu, kama wenye dhambi wakikushawishi, 2 usikubaliane nao. 1

Proverbs 2:16Itakuokoa pia kutokana na mwanamke kahaba, 2 kutokana na mke aliyepotoka mwenye maneno 2 ya kushawishi kutenda ubaya, 1

Proverbs 6:20Mwanangu, zishike amri za baba yako, 2 wala usiyaache mafundisho ya mama yako. 1

Proverbs 6:32Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; 2 yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe. 1

Proverbs 7:25Usiruhusu moyo wako ugeukie njia za huyo mwanamke, 2 wala usitangetange katika mapito yake. 1

Proverbs 18:24Mtu mwenye marafiki wengi wanaweza kumharibu, 2 bali yuko rafiki aambatanaye na mtu kwa karibu kuliko ndugu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 39:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 39:7Genesis 39Genesis 39:9 →