bible.software › Genesis › Genesis 4 › Genesis 4:24
Genesis 4:24
Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba, 2 basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If Cain shall be avenged sevenfold, truly Lamech seventy and sevenfold.
In Context
23Lameki akawaambia wake zake, 1 “Ada na Sila nisikilizeni mimi; 2 wake wa Lameki sikieni maneno yangu. 1 Nimemuua mtu kwa kunijeruhi, 2 kijana mdogo kwa kuniumiza. 1
25Adamu akakutana kimwili na mke wake tena, akamzaa mwana, akamwita Sethi, akisema, “Mungu amenijalia mwana mwingine badala ya Abeli, kwa kuwa Kaini alimuua.”
Read all of Genesis 4
Cross References
Matthew 18:22Yesu akamjibu, “Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini. 1 Mfano Wa Mtumishi Asiyesamehe
This Verse In Other Editions
Study Genesis 4:24