Genesis 4:23
Lameki akawaambia wake zake, 1 “Ada na Sila nisikilizeni mimi; 2 wake wa Lameki sikieni maneno yangu. 1 Nimemuua mtu kwa kunijeruhi, 2 kijana mdogo kwa kuniumiza. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
24Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba, 2 basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.”
Cross References
Leviticus 19:18“ ‘Usijilipizie kisasi wala kuwa na kinyongo dhidi ya mmoja wa jamaa yako, lakini mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe. Mimi ndimi Bwana.
Judges 9:7Yothamu alipoambiwa hayo, akapanda juu ya kilele cha mlima Gerizimu, akawapazia sauti yake akawaambia, “Nisikilizeni enyi watu wa Shekemu, ili Mungu naye apate kuwasikiliza ninyi.