Genesis 4:7
Ukifanya lililo sawa, je, hutakubalika? Lakini usipofanya lililo sawa, dhambi inakuvizia mlangoni mwako, inakutamani wewe, lakini inakupasa uishinde.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
6Kisha Bwana akamwambia Kaini, “Kwa nini umekasirika? Kwa nini uso wako una huzuni?
Cross References
Genesis 3:16Kwa mwanamke akasema, 1 “Nitakuzidishia sana utungu wakati wa kuzaa kwako; 2 kwa utungu utazaa watoto. 1 Tamaa yako itakuwa kwa mumeo 2 naye atakutawala.”
Genesis 19:21Akamwambia, “Vema sana, nitalikubali hili ombi pia, sitauangamiza mji ulioutaja.
2 Samuel 24:23Ee mfalme, Arauna anatoa vyote hivi kwa mfalme.” Pia Arauna akamwambia mfalme, “ Bwana Mungu wako na akukubali.”
Job 29:4Natamani siku zile nilizokuwa katika ustawi wangu, 2 wakati urafiki wa Mungu wa ndani ulipoibariki nyumba yangu, 1
Proverbs 18:5Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu, 2 au kumnyima haki asiye na hatia. 1
Ecclesiastes 8:12Ingawa mtu mwovu hufanya maovu mia moja na akaendelea kuishi maisha marefu, najua kwamba itakuwa bora zaidi kwa watu wanaomwogopa Mungu, wamchao Mungu.