Genesis 40:13
Katika siku hizi tatu, Farao atakutoa gerezani na kukuweka tena kwenye nafasi yako, nawe utaweka kikombe cha Farao mikononi mwake, kama vile ulivyokuwa unafanya ulipokuwa mnyweshaji wake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.
Cross References
Genesis 40:19Katika siku hizi tatu, Farao atakata kichwa chako na kukutundika juu ya mti. Nao ndege watakula nyama ya mwili wako.”
Psalms 3:3Lakini wewe, Ee Bwana, ni ngao pande zote; 2 umeniwekea utukufu na kuinua kichwa changu. 1