Genesis 41:1
Baada ya miaka miwili kamili kupita, Farao aliota ndoto: Tazama alikuwa amesimama kando ya Mto Naili,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2wakati ngʼombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye matete.
Cross References
Genesis 29:14Ndipo Labani akamwambia, “Wewe ni nyama yangu na damu yangu mwenyewe.” 1 Yakobo Awaoa Lea Na Raheli Baada ya Yakobo kukaa kwa Labani mwezi mzima,
Genesis 37:5Yosefu akaota ndoto, naye alipowaeleza ndugu zake, wakamchukia zaidi.
Exodus 1:22Kisha Farao akatoa agizo hili kwa watu wake wote: “Kila mtoto wa kiume atakayezaliwa kwa Waebrania lazima atupwe katika Mto Naili, bali kila mtoto wa kike aachwe aishi.”
Deuteronomy 11:10Nchi mnayoiingia kuimiliki haifanani na nchi ya Misri mlikotoka ambako mlipanda mbegu yenu na kuinywesha, kama bustani ya mboga.
Esther 6:1Usiku ule mfalme hakupata usingizi, hivyo akaagiza aletewe kitabu cha kumbukumbu za matukio ya utawala wake, asomewe.
Isaiah 19:5Maji ya mito yatakauka, 2 chini ya mto kutakauka kwa jua. 1