bible.software › Genesis › Genesis 41 › Genesis 41:24
Genesis 41:24
Yale masuke membamba ya nafaka yakayameza yale masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka. Nimewaeleza waaguzi, wala hakuna yeyote aliyeweza kunifasiria.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the thin ears devoured the seven good ears: and I told this unto the magicians; but there was none that could declare it to me.
In Context
23Baada ya hayo masuke mengine saba yakachipua, yaliyonyauka, membamba na yamekaushwa na upepo wa mashariki.
25Ndipo Yosefu akamwambia Farao, “Ndoto za Farao ni ndoto iyo hiyo moja. Mungu amemfunulia Farao jambo analokusudia kufanya karibuni.
Read all of Genesis 41
Cross References
Exodus 8:19Waganga wale wakamwambia Farao, “Hiki ni kidole cha Mungu.” Lakini moyo wa Farao ukawa mgumu naye hakuwasikiliza, kama vile Bwana alivyosema. 1 Pigo La Nne: Mainzi
This Verse In Other Editions
Study Genesis 41:24