Genesis 41:25
Ndipo Yosefu akamwambia Farao, “Ndoto za Farao ni ndoto iyo hiyo moja. Mungu amemfunulia Farao jambo analokusudia kufanya karibuni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 40:8Wakamjibu, “Sisi sote tuliota ndoto, lakini hapakuwa na mtu yeyote wa kuzifasiri.” Ndipo Yosefu akawaambia, “Je, kufasiri ndoto si kazi ya Mungu? Niambieni ndoto zenu.”
Exodus 9:14au wakati huu nitaleta mapigo yangu yenye nguvu dhidi yako, maafisa wako na watu wako, ili upate kujua kuwa hakuna mwingine kama Mimi katika dunia yote.
Psalms 98:2Bwana ameufanya wokovu wake ujulikane 2 na amedhihirisha haki yake kwa mataifa. 1
Isaiah 43:9Mataifa yote yanakutanika pamoja, 2 na makabila yanakusanyika. 1 Ni nani miongoni mwao aliyetangulia kutuambia haya, 2 na kututangazia mambo yaliyopita? 1 Walete mashahidi wao ili kuwathibitisha kuwa walikuwa sahihi, 2 ili wengine waweze kusikia, waseme, “Ni kweli.” 1
Daniel 2:45Hii ndiyo maana ya maono ya jiwe lililochongwa kutoka mlimani, lakini si kwa mikono ya mwanadamu, lile jiwe ambalo lilivunja chuma, shaba, udongo wa mfinyanzi, fedha na dhahabu vipande vipande. “Mungu Mkuu amemwonyesha mfalme kile kitakachotokea wakati ujao. Ndoto hii ni ya kweli na tafsiri yake ni ya kuaminika.”
Amos 3:7Hakika Bwana Mwenyezi hatafanya neno lolote 2 bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake. 1