The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 41 › Genesis 41:23

Genesis 41:23

Baada ya hayo masuke mengine saba yakachipua, yaliyonyauka, membamba na yamekaushwa na upepo wa mashariki.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And, behold, seven ears, withered, thin, and blasted with the east wind, sprung up after them:

In Context

22“Pia katika ndoto zangu niliona masuke saba ya nafaka, yamejaa na mazuri, yanakua katika bua moja.

24Yale masuke membamba ya nafaka yakayameza yale masuke saba mazuri yaliyojaa nafaka. Nimewaeleza waaguzi, wala hakuna yeyote aliyeweza kunifasiria.”

Read all of Genesis 41

Cross References

2 Kings 19:26Watu wa miji hiyo wameishiwa nguvu, 2 wanavunjika mioyo na kuaibishwa. 1 Wao ni kama mimea katika shamba, 2 kama machipukizi mororo ya kijani, 1 kama majani yachipuayo juu ya paa la nyumba, 2 ambayo hukauka kabla ya kukua. 1

Hosea 8:7“Wanapanda upepo 2 na kuvuna upepo wa kisulisuli. 1 Bua halina suke, 2 halitatoa unga. 1 Kama lingetoa nafaka, 2 wageni wangeila yote. 1

Hosea 13:15hata ingawa Efraimu atastawi 2 miongoni mwa ndugu zake. 1 Upepo wa mashariki kutoka kwa Bwana utakuja, 2 ukivuma kutoka jangwani, 1 chemchemi yake haitatoa maji 2 na kisima chake kitakauka. 1 Ghala lake litatekwa 2 hazina zake zote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 41:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 41:22Genesis 41Genesis 41:24 →