Genesis 41:28
“Ni kama vile nilivyomwambia Farao: Mungu amemwonyesha Farao jambo analokusudia kufanya karibuni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is the thing which I have spoken unto Pharaoh: What God is about to do he sheweth unto Pharaoh.
In Context
29Miaka saba ya neema inakuja katika nchi yote ya Misri,
Cross References
Genesis 40:12Yosefu akamwambia, “Hii ndiyo maana yake: Matawi matatu ni siku tatu.
Genesis 41:25Ndipo Yosefu akamwambia Farao, “Ndoto za Farao ni ndoto iyo hiyo moja. Mungu amemfunulia Farao jambo analokusudia kufanya karibuni.