The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 43 › Genesis 43:2

Genesis 43:2

Hivyo wakati walikuwa wamemaliza kula nafaka yote waliyoileta kutoka Misri, Yakobo baba yao akawaambia, “Rudini Misri mkatununulie chakula kingine zaidi.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And it came to pass, when they had eaten up the corn which they had brought out of Egypt, their father said unto them, Go again, buy us a little food.

In Context

1Wakati huu njaa ilikuwa bado ni kali mno katika nchi.

3Lakini Yuda akamwambia, “Mtu yule alituonya kwa msisitizo, ‘Hamtauona uso wangu tena mpaka mje na ndugu yenu.’

Read all of Genesis 43

Cross References

Genesis 42:2Akaendelea kuwaambia, “Nimesikia kuwa huko Misri kuna nafaka. Telemkeni huko mkanunue chakula kwa ajili yetu, ili tuweze kuishi wala tusife.”

Genesis 43:20Wakasema, “Tafadhali bwana, tulikuja hapa mara ya kwanza kununua chakula.

Proverbs 15:16Afadhali kuwa na kidogo pamoja na kumcha Bwana, 2 kuliko mali nyingi pamoja na ghasia. 1

Proverbs 31:16Huangalia shamba na kulinunua, 2 kutokana na mapato yake hupanda shamba la mizabibu. 1

1 Timothy 6:6Lakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 43:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 43:1Genesis 43Genesis 43:3 →