Genesis 46:22
Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These are the sons of Rachel, which were born to Jacob: all the souls were fourteen.
In Context
21Wana wa Benyamini ni: 2 Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu na Ardi.
23Mwana wa Dani ni: 2 Hushimu. 1
Cross References
Genesis 44:27“Mtumwa wako baba yangu alituambia, ‘Mnajua mke wangu alinizalia wana wawili.