Genesis 46:21
Wana wa Benyamini ni: 2 Bela, Bekeri, Ashbeli, Gera, Naamani, Ehi, Roshi, Mupimu, Hupimu na Ardi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. 1
Cross References
Numbers 1:11kutoka Benyamini, ni Abidani mwana wa Gideoni; 1
Numbers 26:38Wazao wa Benyamini kwa koo zao walikuwa: 1 kutoka kwa Bela, ukoo wa Wabela; 1 kutoka kwa Ashbeli, ukoo wa Waashbeli; 1 kutoka kwa Ahiramu, ukoo wa Waahiramu; 1
1 Chronicles 7:6Wana watatu wa Benyamini walikuwa: 2 Bela, Bekeri na Yediaeli. 1