Genesis 46:23
Mwana wa Dani ni: 2 Hushimu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22Hawa ndio wana wa Raheli aliomzalia Yakobo; jumla yao ni kumi na wanne. 1
24Wana wa Naftali ni: 2 Yaseeli, Guni, Yeseri na Shilemu.
Cross References
Genesis 35:25Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa: 2 Dani na Naftali. 1
Numbers 1:12kutoka Dani, ni Ahiezeri mwana wa Amishadai; 1
Numbers 10:25Mwishowe, kama kikosi cha nyuma cha ulinzi wa vikosi vyote, vikosi vya kambi ya Dani viliondoka chini ya alama yao. Ahiezeri mwana wa Amishadai alikuwa kiongozi wao.
Deuteronomy 33:22Kuhusu Dani akasema: 1 “Dani ni mwana simba, 2 akiruka kutoka Bashani.”
1 Chronicles 7:12Washupimu na Wahupimu walikuwa wazao wa Iri. Wahushimu walikuwa wazao wa Aheri. 1 Wana Wa Naftali 1