Genesis 48:12
Ndipo Yosefu akawaondoa wanawe magotini mwa Israeli naye akasujudu hadi nchi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Joseph brought them out from between his knees, and he bowed himself with his face to the earth.
In Context
Cross References
Genesis 18:2Abrahamu akainua macho akaona watu watatu wamesimama karibu naye. Alipowaona, aliharakisha kutoka kwenye ingilio la hema lake kuwalaki na kuwasujudia hadi nchi.
Genesis 23:7Abrahamu akainuka na akasujudu mbele ya wenyeji wa nchi, yaani Wahiti.
Genesis 42:6Wakati huo Yosefu alikuwa mtawala wa nchi ya Misri, naye alikuwa ndiye aliwauzia watu wote nafaka. Kwa hiyo wakati ndugu zake Yosefu walipofika, wakamsujudia hadi nyuso zao zikagusa ardhi.
Exodus 34:8Mara Mose akasujudu na kuabudu.
Leviticus 19:32“ ‘Uwapo mbele ya mzee, simama ili kuonyesha heshima kwa wazee, nawe umche Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.
2 Kings 4:37Akaingia ndani, akaanguka miguuni pa Elisha na kusujudu hadi nchi. Kisha akamchukua mwanawe na kutoka nje. 1 Mauti Ndani Ya Chungu