Genesis 48:13
Yosefu akachukua wale wana wawili, Efraimu kwenye mkono wake wa kuume akimwelekeza kwenye mkono wa kushoto wa Israeli, na Manase katika mkono wake wa kushoto akimwelekeza kwenye mkono wa kuume wa Israeli, akawaleta karibu na babu yao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Ndipo Yosefu akawaondoa wanawe magotini mwa Israeli naye akasujudu hadi nchi.
Cross References
Genesis 46:20Huko Misri, Asenathi binti wa Potifera, aliyekuwa kuhani wa mji wa Oni, + 46:20 Yaani Heliopoli (Mji wa Jua). alimzalia Yosefu wana wawili, Manase na Efraimu. 1
Matthew 25:33Atawaweka kondoo upande wake wa kuume, na mbuzi upande wake wa kushoto.