Genesis 49:13
“Zabuloni ataishi pwani ya bahari 2 na kuwa bandari za kuegesha meli; 2 mpaka wake utapanuka kuelekea Sidoni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Macho yake yatakuwa mekundu kwa divai, 2 meno yake yatakuwa meupe kwa maziwa. 1
14“Isakari ni punda mwenye nguvu 2 ambaye amelala kati ya mizigo yake. 1
Cross References
Genesis 30:20Ndipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni. + 30:20 Zabuloni maana yake Heshima.
Joshua 19:10Kura ya tatu ikaangukia kabila la Zabuloni, ukoo kwa ukoo: 1 Mpaka wa urithi wao uliendelea hadi Saridi.