Genesis 30:20
Ndipo Lea aliposema, “Mungu amenizawadia kwa zawadi ya thamani sana. Wakati huu mume wangu ataniheshimu kwa sababu nimemzalia wana sita.” Kwa hiyo akamwita Zabuloni. + 30:20 Zabuloni maana yake Heshima.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Lea akapata mimba tena akamzalia Yakobo mwana wa sita.
Cross References
Genesis 30:15Lakini Lea akamwambia, “Haikukutosha kumtwaa mume wangu? Je, utachukua na tunguja za mwanangu pia?” Raheli akasema, “Vema sana! Yakobo atakutana nawe kimwili leo usiku, kwa malipo ya tunguja za mwanao.”
Genesis 46:14Wana wa Zabuloni ni: 2 Seredi, Eloni na Yaleeli.
Deuteronomy 27:13Makabila haya yatasimama juu ya Mlima Ebali kwa kutamka laana: Reubeni, Gadi, Asheri, Zabuloni, Dani na Naftali.
Judges 5:14Kutoka Efraimu wakaja watu, ambao chimbuko lao ni Amaleki; 2 Benyamini akiwa miongoni 2 mwa watu waliokufuata. 1 Kutoka Makiri wakashuka viongozi, 2 na kutoka Zabuloni wale washikao 2 fimbo ya jemadari. 1
Matthew 4:13Akaondoka Nazareti akaenda kuishi Kapernaumu, mji ulioko karibu na bahari, katika mipaka ya nchi ya Zabuloni na Naftali,