Genesis 49:14
“Isakari ni punda mwenye nguvu 2 ambaye amelala kati ya mizigo yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Issachar is a strong ass couching down between two burdens:
In Context
Cross References
Deuteronomy 33:18Kuhusu Zabuloni akasema: 1 “Shangilia, Zabuloni, wakati wa kutoka nje, 2 nawe Isakari, katika mahema yako. 1
Judges 5:15Wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora; 2 naam, Isakari alikuwa pamoja na Baraka, 1 wakija nyuma yake kwa mbio 2 wakielekea bondeni. 1 Katika jamaa za Reubeni, 2 palikuwa na kujihoji kukubwa moyoni. 1
1 Chronicles 12:32Watu wa Isakari, waliofahamu majira na kujua kile ambacho Israeli inapasa kufanya, walikuwa viongozi 200, pamoja na jamaa zao wote chini ya uongozi wao. 1