Genesis 49:18
“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I have waited for thy salvation, O LORD.
In Context
Cross References
Psalms 25:5niongoze katika kweli yako na kunifundisha, 2 kwa maana wewe ni Mungu Mwokozi wangu, 2 nalo tumaini langu liko kwako wakati wote. 1
Psalms 62:1Kwa Mungu peke yake nafsi yangu inapata pumziko; 2 wokovu wangu watoka kwake. 1
Psalms 85:7Utuonyeshe upendo wako usiokoma, Ee Bwana, 2 utupe wokovu wako. 1
Psalms 119:166Ee Bwana, ninangojea wokovu wako, 2 nami ninafuata amri zako, 1
Psalms 123:2Kama vile macho ya watumwa 2 yatazamavyo mkono wa bwana wao, 1 kama vile macho ya mtumishi wa kike 2 yatazamavyo mkono wa bibi yake, 1 ndivyo macho yetu yamtazamavyo Bwana Mungu wetu, 2 mpaka atakapotuhurumia. 1
Isaiah 8:17Nitamngojea Bwana, 2 ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. 1 Nitaliweka tumaini langu kwake.