The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 49 › Genesis 49:19

Genesis 49:19

“Gadi atashambuliwa ghafula na kundi la washambuliaji, 2 lakini yeye atawageukia na kuwashinda kabisa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Gad, a troop shall overcome him: but he shall overcome at the last.

In Context

18“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako. 1

20“Chakula cha Asheri kitakuwa kinono, 2 naye atatoa chakula kitamu kimfaacho mfalme. 1

Read all of Genesis 49

Cross References

Genesis 30:11Ndipo Lea akasema, “Hii ni bahati nzuri aje!” Kwa hiyo akamwita Gadi.

Numbers 32:1Kabila la Wareubeni na Wagadi, waliokuwa na makundi makubwa ya ngʼombe, kondoo na mbuzi, waliona kuwa nchi ya Yazeri na nchi ya Gileadi ni nzuri kwa mifugo.

Joshua 13:8Ile nusu nyingine ya Manase, Wareubeni na Wagadi, walishapokea urithi Mose aliokuwa amewapa mashariki mwa Yordani, sawasawa na mtumishi wa Bwana alivyowagawia.

1 Chronicles 3:18Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia. 1

1 Chronicles 5:20Walisaidiwa katika kupigana nao, Mungu akawatia Wahagari pamoja na wote walioungana nao mikononi mwao, kwa sababu walimlilia Mungu wakati wa vita. Alijibu maombi yao, kwa sababu walimtegemea.

1 Chronicles 5:26Kwa hiyo Mungu wa Israeli akaiamsha roho ya Pulu, mfalme wa Ashuru (ambaye pia alijulikana kama Tiglath-Pileseri), ambaye aliwachukua Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kwenda uhamishoni. Akawapeleka huko Hala, Habori, Hara na mto Gozani, ambako wamekaa mpaka leo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 49:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 49:18Genesis 49Genesis 49:20 →