Isaya 8:17
Nitamngojea Bwana, 2 ambaye ameificha nyumba ya Yakobo uso wake. 1 Nitaliweka tumaini langu kwake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Funga ushuhuda na kutia muhuri sheria 2 miongoni mwa wanafunzi wangu. 1
Cross References
Genesis 49:18“Ee Bwana, nautafuta wokovu wako. 1
Deuteronomy 32:20Akasema, “Nitawaficha uso wangu, 2 nami nione mwisho wao utakuwa nini, 1 kwa kuwa wao ni kizazi kilichopotoka, 2 watoto ambao si waaminifu. 1
Job 35:14Si zaidi sana kwamba hatakusikiliza 2 wewe usemapo humwoni, 1 tena ya kwamba shauri lako liko mbele zake 2 na wewe lazima umngojee, 1
Psalms 33:20Sisi tunamngojea Bwana kwa matumaini, 2 yeye ni msaada wetu na ngao yetu. 1
Psalms 39:7“Lakini sasa Bwana, nitafute nini? 2 Tumaini langu ni kwako. 1
Psalms 130:5Namngojea Bwana, nafsi yangu inangojea, 2 katika neno lake naweka tumaini langu. 1